Pages

Subscribe:

Monday, December 8, 2014

IDRIS SULTAN ANYAKUA DOLA ELFU 300 ZA KIMAREKANI KWAKUWA MSHINDI KATKA SHINDANO LA BIG BROTHER HOTSHOTS KUTOKA TZ

Mshiriki  wa Tanzania anayewakilisha ndani ya mjengo wa Big Brother ‘hotshots’ , Idris Sultan ndiye ameibuka kidedea leo usiku katika shindano hilo huko Afrika Kusini. Idris amekuwa Mtanzania wa pili kushinda shindano hilo, baada ya Richard Dyle Bezuidenhout kuibuka kidedea mwaka 2011 katika Big Brother Afrika II.
video

0 comments:

Post a Comment