Pages

Subscribe:

Saturday, August 16, 2014

REDD'S MISS KINONDONI MARIA SHILLA ANYAKUA TAJI HILO

Redd's Miss Kinondoni, Maria Shilla.
 Redd's Miss Kinondoni, Maria Shilla (katikati), akiwa na furaha baada ya kutangazwa mshindi. Kulia ni mshindi pili, Camilla Cindy John na mshindi tatu, Queen Latifa Hashim. (Picha na Francis Dande)
 Mapooziii.
 Tunawakilisha Kinondoni.
 Warembo wakijibu maswali.
 Muandaaji wa shindano hilo, Innocent Melleck akizungumza wakati wa fainali ya shindano la Miss Kinondoni.
 Majaji.
 Redd's Miss Kinondoni, Maria Shilla akipita kwa madaa jukwaani.
 Mmoja wa wadhamini wa shindano hilo Mroki Mroki akizungumza wakati wa shindano hilo.
 Majaji wakijadiliana jambo.
 Redd's Miss Kinondoni, Maria Shilla akiwa na warembo wenzake.

 Wanamuziki wa Malaika Band wakionesha manjonjo yao.
Hashim Lundenga akiwa na  Baadhi ya majaji.
 Wanamuziki wa Malaika Band wakitumbuiza wakati wa shindano la kumtafuta Miss Kinondoni.

0 comments:

Post a Comment